Kuna
idadi kubwa sana ya wanawake duniani wanao hangaika kutafuta
namna ya kuongeza ukubwa wa makalio yao pamoja na kutengeneza
ama kurekebisha maumbile ( shape ) ya makalio yao.
Zipo
njia mbali mbali zinazo weza kutumika kuongeza ukubwa wa
makalio . Njia hizo ni pamoja na kufanya mazoezi maalumu ya
kuongeza makalio na hips, kutumia dawa mbalimbali za
kutengeneza makalio na hips pamoja na njia ya kufanyiwa
upasuaji.
Katika makala yetu ya leo, tutaangazia suala la kuongeza na kutengeneza shape ya makalio kwa njia ya upasuaji.
Na
katika hilo tutajikita katika aina ya upasuaji wa kuongeza
ukubwa na shape ya makalio na hips unaotumika zaidi nchini
Brazil ambao hujulikana kama Brazilian Butt Lift.
UPASUAJI WA KUONGEZA UKUBWA WA MAKALIO NI NINI ?
Ni
aina ya upasuaji unao fanyika kwa ajili ya kuongeza ukubwa
na shape ya makalio. Upasuaji huu ni lazima ufanywe na
Daktari aliye thibitishwa katika fani ya upasuaji ( Certified
Surgeon )
AINA ZA UPASUAJI WA KUONGEZA MAKALIO.
Zipo aina kuu mbili za upasuaji wa kuongeza ukubwa wa makalio, ambazo ni :
1.
KUPANDIKIZA SILICONE KWENYE MAKALIO : Hapa mpasuaji, hupandikiza
silicone kwenye makalio kwa ajili ya kuyafanya yawe na
muonekano mkubwa.
2.
KUPANDIKIZA MAFUTA MAFUTA KWENYE MAKALIO; Hapa mpasuaji huhamisha
mafuta yaliyo kusanywa katika maeneo mbalimbali ya mwili wako
na kisha kuyapandikiza kwenye eneo la makalio na kuyafanya
yawe makubwa
JINSI UPASUAJI WA KUONGEZA MAKALIO KWA NJIA YA KUHAMISHA MAFUTA YA MWILINI UNAVYO FANYIKA.
Kama
tulivyo ona hapo juu, zipo njia kuu mbili za upasuaji wa
kuongeza makalio ambazo ni njia ya kupandikizwa silicone na
nyingine ni njia ya kuhamisha mafuta kutoka katika sehemu
mbalimbali za mwili wako na kisha kuyapandikiza kwenye sehemu
ya makalio na hivyo kuyafanya kubwa makubwa.
Hapa
tutaangalia JINSI UPASUAJI WA MAKALIO KWA NJIA YA KUHAMISHA
MAFUTA KUTOKA SEHEMU NYINGINE ZA MWILI NA KISHA KUYAWEKA
KWENYE MAKALIO UNAVYO FANYIKA.
Hapa
mpasuaji kwa kutumia teknolojia ya hali ya juu, atakusanya
mafuta kutoka katika sehemu mbalimbali za mwili wako zenye
mafuta mengi,kama vile kwenye mgongo, mikono, mapaja au tumboni
na kuya safisha.
Baada
ya kuyasafisha mafuta haya yatapandikizwa kwenye sehemu ya
makalio yako eidha kwa njia ya sindano au kwa kuyasafirisha
moja kwa moja hadi kwenye mishipa ya kwenye makalio yako na
hivyo kuyafanya kuwa makubwa.
MTU MWENYE SIFA ZIPI ANAWEZA KUFANYIWA UPASUAJI WA AINA HII?
Kama
nilivyo andika hapo juu, mpasuaji atakusanya mafuta kutoka
kwenye sehemu mbalimbali za mwili wako na kisha kuyahamishia
kwenye sehemu ya makalio. Hivyo basi unacho takiwa kuwa nacho
ni mafuta ya ziada katika sehemu mbalimbali za mwili wako kama
vile kwenye mapaja, mikono au tumboni n.k. Kama hauna mafuta ya
kutosha katika sehemu nyingine za mwili wako, hauwezi kufanyiwa
upasuaji huu.
Ili
upasuaji huu uweze kukamilika,unatakiwa kuwa na kati ya
sentimita za ujazo 250 hadi 350 za mafuta kwa makalio yote
mawili.
2. KUPANDIKIZA MAKALIO KWA NJIA YA SILICONE.
Njia
hii ya upasuaji, hutumiwa zaidi na wanawake wasio na kiwango
kikubwa cha mafuta mwilini. Katika aina hii ya upasuaji,
silicone hupandikizwa moja kwa moja katika sehemu ya makalio na
hivyo kuyafanya yawe na muonekano mkubwa.
FAIDA ZA UPASUAJI KWA NJIA YA KUHAMISHA MAFUTA.
1.
Upasuaji huu huchukua muda mfupi sana kukamilika, na kupona
kwake huchukua muda mfupi pia. Unaweza kuendelea na shughuli
zako za kila siku, baada ya wiki mbili tangu kukamilika kwa
zoezi la upasuaji.
2. Kwa kuwa mpasuaji hutumia mafuta yako mwenyewe, hivyo kuna risk ndogo sana ya kupata maambukizi
3.
Mafuta huchukua umbo la sehemu yalikopandikizwa, hivyo umbo
lato litaonekana original. Hakuna atakaye weza kugundua kuwa
umefanyiwa upasuaji.
HASARA ZA UPASUAJI KWA NJIA YA KUHAMISHA MAFUTA
1.
Kwa kuwa mafuta yanahitaji mtiririko wa damu wa kutosha ili
yaweze kuimarika, inashauriwa kutokuweka presha kubwa kwenye
makalio yako kwa kipindi cha miezi miwili. Hivyo basi, hautakiwi
kukaa kwa muda mrefu, pamoja na kutokuvaa nguo zinazo bana kwa
muda wa miezi miwili.
2.
Kwa sababu kudumu kwa mafuta yaliyo pandikizwa hakutabiriki,
makalio yako yataongezeka kwa asilimia 25% hadi 50% na sio
zaidi ya hapo.
3.
Ili kuendelea kuongeza kiwango cha mafuta katika makalio yako,
utatakiwa kuendelea kufanya upasuaji kila baada ya miezi
mitatu.
UPASUAJI WA MAKALIO KWA NJIA YA SILICONE.
Upasuaji
huu unafanyika zaidi katika nchi za magharibi. Katika upasuaji
huu, silicone hupandikizwa chini kidogo ya eneo la mishipa ya
kwenye makalio.
Upasuaji
huu una hasara nyingi kuliko faida. Miongoni mwa hasara
zitokanazo na aina hii ya upasuaji ni pamoja na kubabuka
makalio, pamoja na kupatwa na kansa inayo weza kupelekea
kukatwa na miguu. Maelfu ya wanawake waliotumia njia hii
kuongeza ukubwa wa makalio yao, sasa wanajuta kwa kupatwa na
madhara mbalimbali yatokanayo na upasuaji wa aina hii, kama
vile kubabuka makalio yao pamoja na kukatwa miguu.
NJIA
SALAMA ZA KUONGEZA UKUBWA WA MAKALIO : Kama wewe ni mdada
wa kitanzania, na unataka kuongeza ukubwa wa makalio yako.
Unaweza kufanya hivyo kwa kutumia njia salama. Zipo njia
mbalimbali zinazo tumika kuongeza ukubwa wa makalio. Njia hizo
ni pamoja na mazoezi ( ambayo huchukua kati ya miaka mitatu
hadi saba kutoa majibu ) pamoja na dawa mbalimbali asilia,
ambazo huchukua kati ya miezi mitatu hadi kutoa matokeo.
Kufahamu kuhusu dawa mbalimbali asilia zinazo tumika kuongeza
ukubwa wa makalio, tafadhali tembelea:
Post a Comment