Kama unamfollow msanii wa filamu na muziki Tanzania, Hemedy PHD katika
akaunti yake ya Instagram, utakuwa umekutana na post zake nyingi kuhusu
rapper/muimbaji wa Canada, Drake.
Hemedy amesema kuwa yeye ni shabiki mkubwa sana wa Drake, na ndiye
msanii wa nje anayemu-inspire kwa kiasi kikubwa ndio sababu huwa
anampost sana kwenye akaunti zake lakini sio kwasababu anajifananisha
naye.
“
Ninamkubali sana drake lakini sijifananishi na Drake” alisema Hemedy kupitia Clouds’E’ ya Clouds TV.
Lakini kama kawaida yake hakuacha kujifagilia kidogo, kwa kusema kuwa
licha ya kumpenda Drake lakini bado yeye (Hemedy) anamzidi Drake mambo
mengi ikiwemo muonekano wake na kuvaa.
“
Nina muonekano mzuri kuliko Drake, navaa vizuri kuliko drake” – Hemedy PHD
Hemedy ambaye hivi karibuni ameachia video mpya ‘Imebaki Story’, pia
amezungumzia maana ya ‘Papi Nation’ kuwa ni jina la kampuni yake
anayotarajia kuisajili hivi karibuni.
BONGO 5
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Friday, 7 August 2015
Post a Comment