Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Mtazamo wa Henry kuhusu usajili kwa klabu yake ya zamani ya Arsenal

Thierry Henry amesema kwamba anaamini kwa kipindi hiki
kilichobaki kwenye dirisha la usajili anaweza kukiita kama msimu wa Arsenal. Anachomaanisha ni kwamba kipindi hiki lazima Arsenal isajili Striker na Midfielder.

Akiwa kwenye uchambuzi wa mechi ambayo iliisha kwa draw ya bila bila Henry alisema,“Nadhani itakua ni wiki kubwa sana, swali ni kwamba watanunua mchezaji, walikua wanakosa wachezaji sana leo usiku, bado wanahitaji holding midfielder na striker pia. Tulikua tunasema hivi tangu mwanzo wa msimu”.

Katika muendelezo wa mazungumzo hata Henry alisema pia hakuna jinsi zaidi ya kutumia pesa ili kupata mchezaji anaehitajika kama hayupo kwenye kikosi hivi sasa.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

www.7x24hours.blogspot.com
© Copyright 2025 24hours | Designed By Code Nirvana
Back To Top