
kwenda kumtibia mchezaji na kumtoa nje mchezaji mwingine wakati Chelsea wakiwa nyuma kwa idadi ya wachezaji. Pia walikua wana-struggle kupata ushindi kwenye mechi yao ya ufunguzi.
Unaambiwa kwenye gari la timu Jose alimwambia Doctor huyo hata kama ukiwa ni mtu jezi au doctor wa timu, lazima uelewe mchezo unavyoenda. Habari mpya iliyoripotiwa na Teleghraph hivi sasa ni kwamba Doctor huyo ametolewa kwenye bechi la Chelsea.
Zaidi ni kwamba Doctor huyo hatahudhuria mazoezi wala kufikia kwenye mechi na kuingia kwenye hotel ya wachezaji. Hivi sasa anaweza kuendelea kuwa Doctor lakini wa level ya chini kulinganisha ya ile ya mwanzo. Taarifa hii ni kwa mujibu wa Telegraph.
Mashabiki wengi wa Chelsea wapo agaist Mourihno jinsi alivyo deal na hili swala kuanzia uwanjani hadi nje ya uwanja.
Post a Comment