Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

HIVI NDIVYO MAGUFULI ALIVYOWASILI MLIMANI CITY

Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye ukumbi wa Mlimani City tayari kuhudhuria hafla maalum ya kumshukuru na kumuaga Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na kumpongeza na kumkaribisha Mheshimiwa John Pombe Magufuli.wengine pichani ni Ruge Mutahaba ,Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye .
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe.Paul Makonda.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha wageni
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akisalimina na Mbunge wa Jimbo la Bumbuli na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mhe. January Makamba
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwa kwenye picha ya pamoja na msanii Diamond ,Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ,Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Paul Makonda na Mbunge wa Jimbo la Bumbuli na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mhe. January Makamba.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

www.7x24hours.blogspot.com
© Copyright 24hours
Back To Top