Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Hekaheka ya mke kumng’ata mumewe sehemu za siri kisa ulevi imenifikia…(Audio)

Hekaheka ya leo inatokea Dar es salaam eneo la Tabata Kinyerezi, inamhusu mume kujeruhiwa  vibaya sehemu zake za siri na mke wake kisa ni mlevi kupita kiasi.
Mke wake amekua anakerwa na tabia ya mume wake ya ulevi tangu siku nyingi na mara nyingi amekua akimkataza tabia ya kunywa pombe bila mafanikio yoyote.
Mmoja wa ndugu wa karibu amesema siku ya tukio ndugu yake kama kawaida alirudi nyumbani usiku saa mida ya 7 na kumkuta mke wake amelala..kutokana na mkewe kukerwa na harufu ya pombe ya mumewe wakati akimsumbua kutaka kukutana nae kimwili kwa hasira mwanamke huyo akamng’ata sehemu zake za siri na kuanza kutokwa damu nyingi.
Baada ya tukio hilo jamaa huyo alipatwa na maamuzi makali na kuamua kukimbilia hospitali ya Muhimbili ambapo alitibiwa na kuambiwa kutokana na kuvuja damu nyingi hataweza kupata watoto kutokana na hali yake.
Isikilize hapa mtu wangu….
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

www.7x24hours.blogspot.com
© Copyright 24hours
Back To Top