Modelling agency wa Los Angeles anatumia picha ya Amber Rose kuwashawishi models chipukizi wajiingize kwenye umalaya, Hii ni kwamujibu wa TMZ.
Akitumia njia za zamani za Amber Rose kama account yake ya
Ustream na kampuni feki akiwashawishi models na kuwaambia kuwa anatafuta
models chipukizi na kuwasaidia pia. Utaalamu wake umepitiliza hadi
kutumia video za zamani za Amber kushawishi wadau kumfuata mawazo yake.
Mara tu watakapo kubaliana na kazi yake, basi atawaunganisha kwa matajiri kuwa na mahusiano nao ya kimapenzi na kuwaambia kuwa hiyo itawasaidia kukuza kipaji chapo na kufanikisha ndoto zao katika fani yao ya model.
Hataivyo mmoja wa models hao alitoa taarifa kwa shirika la polisi la Los Angeles LAPD kuhusiana na suala hilo.
Amber Rose hajaliongelea suala hilo hadi sasa.

Post a Comment