MUIGIZAJI mwenye mvuto anayekuja kasi katika tasnia ya filamu
Bongo, Ester Kiama ameweka bayana kuwa hapendi kuwa na marafiki wa kike
na hana.
Muigizaji mwenye mvuto anayekuja kasi katika tasnia ya filamu Bongo, Ester Kiama.
Akifunguka kiunagaubaga, Ester alisema kutokana na malezi
na maisha yalivyo sasa inabidi aepuke marafiki ambao wengi wao ni
wanafiki.
“Wengi wanajua naringa sana lakini ukweli sipo hivyo ndiyo
maana muda mwingi nautumia katika kufanya shughuli zangu na kujiepusha
na makundi kwani najua madhara yake, washikaji zangu ni wanaume kwani
najifunza mengi kupitia kwao,” alisema Ester.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Thursday, 9 July 2015
Post a Comment