Kwenye ukweli tuweke mambo ya vyama pembeni kwa maslahi ya taifa.
Kuna baadhi ya wabunge lazima warudi bungeni kwa ushindi wa kishindo na
wengine hata wakionga migodi hawawezi kurudi mfano ni Tibaijuka na
Asumpta Mshana.
Baada ya kuzunguka nchi nzima nikifanya research nimepata haya majina ya wabunge walioshinda kabla hata ya uchaguzi
.Sugu, Wenje, Lissu, Mnyika, Mbatia, Mdee, Joseph haule, Msigwa, Mkosamali na Kafulila
Embu na wewe nipe majina ya wabunge ambao tayari wameshinda kwa AJILI ya bunge lijalo
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Politics
on Thursday, 30 July 2015
Post a Comment