Baada ya muigizaji mrembo wa filamu za Bongo, Elizabeth “Lulu” Michael
kuandika tweet iliyotafsiriwa kuwa huenda ni kijembe kwa mrembo fulani,
amefafanua alichokimaanisha.
Lulu amesema kuwa alichokiandika
kwenye post hiyo ilikuwa ni utani, na wakati huo huo kukubali kuwa
inaweza kuwa na ukweli ndani yake.KISA MAGUFULI KUCHAGULIWA KUIWAKILISHA CCM URAIS 2015
“It was a joke, but sort of ukweli pia kwa sababu mara nyingi kumekuwa na dhana watu wa nje wanachukulia kama vile viti maalum ni vya kupeana” alisema kupitia The Playlist ya Times Fm.
Lulu aliendelea kwa kusema:
“…probably watu wameichukulia kama nimemsnitch mtu, mimi siko hivyo na sinaga hayo mambo kabisa. Ni kwamba nimefanya kama utani, lakini watu wasichukulie poa kwamba kila anaewekwa pale kwamba ana sura nzuri, kila anaewekwa pale ana umbo zuri.
Post a Comment