Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu ambaye ametangaza nia ya kugombea
nafasi ya ubunge wa viti maalumu Singida,amesema anafurahishwa na
kitendo cha mashabiki wake kumwigiza sauti akiwa bungeni kwa kuwa
wameonyesha kumkubali kabla hajafika ‘Mjengoni’.
Alisema sauti hiyo inayomuigiza alitumiwa kupitia simu yake na
haikumkwaza zaidi ya kufurahia kwamba watu wengi wanakubali awe
bungeni.
- “Nafurahi kwa kuwa wengi wameshanipeleka bungeni wakati mimi ndiyo
kwanza nipo katika harakati za kuomba kuchaguliwa kupitia umoja wa
wanawake Singida , lakini nafurahia kwa kuwa inaonyesha wengi
wananikubali, ila nikipitishwa kuwawakilisha wana Singida bungeni
sitaongea kama walivyonirekodi katika sauti hiyo,” alisema Wema kwa
furaha.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Monday, 22 June 2015
Post a Comment