Staa wa Bongo Movie,Aunty Ezekiel amefunguka kuwa hapendi mtoto wake
aliyejifungua hivi karibuni aitwaye Cookie,awe mwigizaji wa filamu kama
yeye.
Akizungumza na Clouds Fm,alisema kuwa atakachofanya kama mzazi anataka
mtoto wake asome na kama akiwa mwigizaji basi iwe kama kazi yake ya
ziada siyo anayoitegemea kwenye maisha yake.
- ‘’Binafsi sipendi mwanangu awe mwigizaji kama mimi,na siyo lazima
kama mimi mama yake niwe mwigizaji na yeye awe hivyo kuna kazi nyingi
ila ninachotaka asome sana na kama atataka kuwa msanii basi iwe kazi
yake ya pili siyo aitegeeme katika maisha yake,’alisema Aunty.
- ‘’Hata mimi pamoja na kwamba ni mwigizaji lakini siitegemei sana kazi hiyo nina kazi zingine nafanya,’’aliongezea Aunty.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Monday, 22 June 2015
Post a Comment