Jana June 08 2015 kulikuwa na mdahalo wa Wagombea wa Urais TZ ambao
wanawakilisha CCM.. Mdahalo ulianza saa moja jioni Hyatt Regency Dar
lakini Wagombea wengi hawakufika aliyefika ni Mgombea mmoja tu, Balozi
Amina Salum Ali, wapo waliotoa sababu za kutofika lakini wengine
hakukuwa na taarifa yoyote.
Ali Mufuruki ni mwenyekiti wa Waandaaji wa Mdahalo huo, hiki ndio alichokisema baada ya kutokea kwa hali hiyo
”
Tumesikitika kwamba wamejitoa.. Hiki ni kitu ambacho kimetuchukua
muda mrefu sana kukiandaa. Sijui na sijapata nafasi kuzungumza nao nini
kimewakuta“
“
Tarehe 18 kutakuwa na mdahalo wa watu wa UKAWA… Hatuwezi kuwalazimisha kuja, wakiamua kutokuja hatuwezi kufanya chochote“
“
Mzee Sumaye anauguliwa kwa hiyo hakuwepo hapa mjini… Mheshimiwa
Nyalandu alithibitisha kushiriki leo asubuhi lakini ameenda Mbeya kikazi
na leo usiku atasafiri kwenda nje ya nchi”
“
Kinana alifafanua kuhusu hili jambo kwamba kila mtu ana hiari ya
kuhudhuria ama kutokuhudhuria. Sidhani kama kuna tatizo kwenye chama…
Sijapewa sababu ya hawa ambao hawajahudhuria”–Ali Mufuruki.
Sauti yake nimeirekodi pia na unaweza kuisikiliza hapa:
Source:Millard AYO
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Updates
on Monday, 8 June 2015
Post a Comment