Mwana mama huyu alichukua hatua hii ya kinyama kutokana na wivu wa mapenzi ambao ndo ulimpelekea kufanya tukio hilo alisema mnamo tarehe 14 mwezi wa 2 mwaka huu siku ya wapendanao kama wengi wanavyo ijua
mumewe aliondoka asubuhi na kuelekea katika mizunguko yake lakini baada ya muda wakazi kuisha alirudi nyumbani na kubadilisha nguo na kutoka tena japo hakusema alikuwa anaelekea wapi.
Ilipita saa3 mwanamke alipigiwa simu kuwa mumewe ameonekana akiwa namchepuko wakielekea katika nyumba za wageni ndipo mwanamke huyo akaamua kufuatilia kujua ukweli wa mambo juu ya seke seke hilo nandipo alipokuta makubwa asiyo tegemea na hatimaye akamua kuondoka nakurudi nyumbani kwake.
Baada ya kukaa kwa mda wa mwezi aliamua kufanya ukatili huo mumewe akiwa amelala nakumwagia mafuta na kumchoma kabisa lakini majirani walikuja na kutoa msaada baada ya mwanamke huyo kukimbia lakini alikamatwa nakutiwa nguvuni mpaka sasa.
Post a Comment