Unaijua ratiba yake ya kila siku; “Huwa naamka saa mbili au saa tatu inategemea na nini natakiwa kufanya siku hiyo… nafanya kazi za nyumbani kama mwanamke mwingine, napenda sana kupika. Nikiwa niko nyumbani sina kazi yoyote ninakaa na kupika.. kitu kinachochukua sana muda wangu ni shooting ya reality show na movie, sipendi sana kutokatoka”>>> Wema Sepetu.
Loading...
Home
» Gossip
» MSKIE WEMA SEPETU TANGU ATANGAZE NIA YA KUGOMBEA UBUNGE LIVE NDANI YA CLOUDS 360 HAPA
MSKIE WEMA SEPETU TANGU ATANGAZE NIA YA KUGOMBEA UBUNGE LIVE NDANI YA CLOUDS 360 HAPA

Post a Comment