Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

WEMA SEPETU AELEZA JINSI ALIVYOTAMANI KUZAA NA DIAMOND PLATINUMZ

Wema Sepetu.Diamond Platnumz na Wema Sepetu ni mastaa ambao wanaongelewa sana na kila kukicha wanatengeneza Headlines katika magazeti ya Tanzania.
 
Katika Kipindi cha TAKE ONE cha Zamaradi, Wema Sepetu kafunguka namna ambavyo alitamani kuzaa na Diamond Platnumz.
Wema Sepetu amesema:"Nilikuwa natamani siku moja kupata mtoto na Diamond(Naseeb) kwa sababu i told you he was my man ambae nimetokea kumpenda tu hivyo, its done lakini ukweli upo and am not fake and nilikuwa natamani sana that is what i wanted, and tumehangaika wote, yeye anajua the hustle and nimehangaika sio mahospitalini, nimehangaika sio kwa madawa haya ya mitishamba sijui nikisikia Dokta nani, sijaenda kwa several doktas kwa sababu nimeshakata tamaa people telling me am stilling too young kukata tamaa but kwa sababu ya zile hustles nyingi nimechoka"
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

www.7x24hours.blogspot.com
© Copyright 24hours
Back To Top