Rehema Chalamila aka Ray C amejikuta akishindwa kujizuia kulia baada ya
kunyimwa dawa ya Methadone ambayo amekuwa akiitumia kwa miaka miwili
sasa ili kumsaidia kuondokana na addiction ya madawa ya kulevya.
Ray C amepost video kwenye Instagram ambazo kwa zinaendelea kusambaa kwenye mtandao huo akilia kwa uchungu.
“Nashindwa kuvumilia,” anasikika akisema. “Mpaka sasa nipo hapa kitengo
cha madawa na sijapewa dawa, kwa sababu nilipost ile post nyingine
wamenifanyia makusudi. Sasa mimi nikikosa madawa wanataka nirudi kwenye
kuvuta unga,” amehoji muimbaji huyo.
Ray C aliendelea kudai kuwa mwili unamuuma pamoja na mifupa huku
akishindwa kujua afanye nini ili kukabiliana na hali hiyo ambayo amedai
inamtesa.
Bongo5
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Post a Comment