Habari kuhusu ujio wa collabo kati ya superstar wa Nigeria, Davido na
superstar wa Tanzania Alikiba tuliisikia kutoka kwa Davido mwenyewe
wakati wa tuzo za 2015 MTV MAMA zilizotolewa huko Durban, Afrika Kusini.
Hatimaye Alikiba naye amezungumzia collabo hiyo kwa mara ya kwanza, kwa
kuthibitisha kuwa alichokisema Davido ni kweli hivyo watu wajiandae
kupokea kazi hiyo hivi karibuni.
“Davido ameongea na Millardayo kwamba anataka kuja kufanya featuring na
Alikiba, which is tayari tulikuwa tumeshaongea muda mrefu, kwahiyo watu
wasubirie tu ngoma inakuja kutoka lini.” Alisema King Kiba kupitia 255
ya XXL ya Clouds Fm.
Alikiba pia ameelezea kile ambacho wanatarajia kukiimba katika wimbo huo ambao bado haujarekodiwa.
“Track iko vizuri, lakini idea bado haijakamilika, lakini kiukweli mi
hua nafanya ngoma nikiwa studio, tutazungumzia kuhusu goodtime, party,
mapenzi flani you know, yaani nyimbo flani ya kuhamaishisha watu katika
raha.”
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Music
on Tuesday, 11 August 2015
Post a Comment