Wakati utajaji wa majina ya wasanii watakaowania tuzo za MTV Africa
ukiendelea, katika hali isiyo ya kawaida mashabiki wa Ali Kiba
wameonekana kuzagaa kwa wingi kwenye ukurasa wa Television hiyo pendwa
kupendekeza wimbo wa Mwana.
Hata hivyo juhudi zao hazikuzaa matunda kwani msanii huyo hajaambulia
hata category moja kutokana na kile kinachosemekana kutotambuliwa na
MTV. Msanii Diamond Platnumz ametajwa kuwania category 3 hadi sasa.
Tazama hapa walivyokuwa wanaandika kwenye page ya MTV:
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Friday, 12 June 2015
Post a Comment