Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Wingi wa Swala Haukimbizi Simba Porini....Wewe Kijana Unayemkimbilia Kumfuata LOWASSA Ukawa Unajua Unajifungia Opportunities Mwenyewe?

" WINGI WA SWALA HAUMKIMBIZI SIMBA PORINI". TUKUTANE TAREHE 26/10/2015......
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI:- Now FACT is Picha ya kushoto ni CCM na Kulia ni Muungano wa vyama Vingi vya UKAWA against Chama Kimoja tu CCM..the FACT is Lowasa ndani ya CCM alipata wadhamini 800,700 lakini toka aingie UKAWA waliotoka kumfuata hawazidi 2,000...another FACT ni kwamba Lowasa alisindikizwa na Wenyeviti wa CCM Mikoa 15 kwenye kurudisha Fomu yake ya CCM mpaka leo waliomfuata UKAWA hawazidi 4....

Another FACT Meneja Mkuu wa kampeni za Lowasa CCM alikuwa Bashe mpaka leo amegoma kabisa kumfuata Boss wake UKAWA... another FACT Wabunge 150 wa CCM walikuwa wanamuunga mkono Lowasa akiwa CCM mpaka leo hakuna Mbunge aliyeshinda Kura za maoni CCM aliyemfuata Lowasa amefuatwa na wasiozidi 10 na wote wameshindwa kura za Maoni kwanza ndio wamemfuata hahahahaha...another FACT ni kwamba Dr. Nchimbi, Sophia Simba na Adam Kimbisa waliomtetea sana Lowasa Kamati Kuu kwenye mchujo wa Urais wameapa kwamba hawatakuja kumfuata Lowasa huko UKAWA....INFACT the FACT is jana Dr. Nchimbi kwenye kikao cha Baraza Kuu la UVCCM alisema "Watuwazima mkisha kaa kwenye kikao na kukubaliana kama tulivyofanya Dodoma kwenye kuchagua mgombea, halafu wewe ukatoka hapo ukaenda kinyume na makubaliano hufai kuwa Kiongozi wa Taifa ni Msaliti"....

FACT Lowasa amejitoa CCM kwa sababu at his age and time hakuwa na alternative ya kusubiri Miaka 5 ya uchaguzi tena NOW WEWE KIJANA UNAYEMKIMBILIA KUMFUATA LOWASA UKAWA unajua unajifungia opportunities mwenyewe cause unachokifanya ni "Point of no return" I mean yaani unaaamini Bashe Manager wa Lowasa hana akili wewe unazo zaidi? THINK.ABOUT IT TAFAKARI KABLA HUJARUKIA TRENI KWA MBELE! jamani I was just thinking aloud! Hahaha kama una tatizo jibu na FACTS PLEASE! ONLY FACTS HERE BABY!....WINGI WA MBUZI HAUMKIMBIZI SIMBA U KNOW - le Mutuz
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

www.7x24hours.blogspot.com
© Copyright 24hours
Back To Top