Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

BREAKING NEWS KUTOKA BUNGENI DODOMA LEO: BUNGE LA AHIRISHWA KUTOKANA NA KIFO CHA MBUNGE HUYU

Mama Eugene Mwaiposa enzi za uhai wake
Naibu Spika ndg John Ndugai ameliahirisha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kufuatia Kifo cha aliyekuwa Mbunge wa UKONGO Kupitia chama Cha Mapinduzi (CCM) mh. Eugene Mwaiposa aliyekutwa amefariki nyumbani kwake Mapema leo Asubuhi, Tangazo hilo la Naibu Spika Bungeni limeeleza chanzo cha Kifo hicho kuwa ni Shinikizo la Damu.
TAARIFA YA NAIBU SPIKA
Bunge la jamhuri limepata msiba wa kufiwa na mbunge wa jimbo la Ukonga, alikuwa na tatizo la shinikizo la damu kwa muda mrefu, Amefariki nyumbani kwake hapa Dodoma. Nyumbani kwa marehemu ni eneo la Chaduru opposite na jengo jipya la hoteli ya Shabiby barabara ya Dar es Salaam, Mwili umepelekwa hospitali ya mkoa wa Dodoma kwa uchunguzi zaidi.
Shughuli ya Kuaga itafanyika kesho baada ya familia yake kuwasili hapa Dodoma. Tutatumia mtandao wa simu kuwajulisha taarifa zaidi, kwa jinsi hio natumia kanuni ya 152 kuahirisha bunge hadi keshokutwa Alhamis.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

www.7x24hours.blogspot.com
© Copyright 24hours
Back To Top