Aunty na Moses Iyobo |
Aunt aliyaongea hayo katika mahojianao maalumu na kusema kuwa kama kuna watu wanaomtafsiri kama yeye ni mpenda hela na hawezi kujkaa na Iyobo kiatendo ambacho sio cha kweli katika moyo wake kwani anachohitaji kutoka kwa Iyobo ni mapenzi tu.
“Nataka ni weke wazi kuwa nimejianda na nimejipanga kuishi na Iyobo au baba cookie kwa sababu ambazo najizua mimi na sikushawishiwa na mtu mataka watu waanze kunifuatilia kuhusu mapenzi haya naamini mapenzi yangu yako kwake kama ilivyo kwa mtu mwingine,” alisema Aunt
Aliendelea kuongeza kuwa unaweza kuwa na mpenzi mwenye pesa lakinI maudhi ya kila siku katika maisha yakawa mengi jambo ambalo linaondoa raha kabisa
‘ Ili mradi mpenzi wangu anahele ya kukidhi shida zetu haijalishi watu wanasema nini, ninachotaka ni mapenzi ya dhati tu kutoka kwetu hayo mengine waache watu waongee mpaka wachoke,” alisema Aunt.
Hata hivyo Aunt aliesema kuwa hata mimba yake haikuingia kwa bahati mbaya bali iliingia kwa makusudi ndio maana hakuwa na presha katika makuzi ya mimba hiyo.
Kama hiyo haitoshi Aunt aliongeza kuwa anajua kuwa Iyobo alikuwa na mwanamke aliezaa naye lakini sio mkeo sasa kama kuna mtu anadai amechukua mume wa mtu ajue kuwa nay eye ni mke wa mtu vilevile.
“Sijaiba mume wa mtu Iyobo hajaoa jamani tuacheni tufanye yetu naamini kila kitu kinaendelea maisha nalea mwanangu bila ya matatizo na sihitaji bifu na mtu,” aliweka wazi Aunt
Gazeti la KIU
Post a Comment