Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Unatamani kuwajua walipo member wengine wa Tmk Wanaume Family?

tmk 
Katika makundi makubwa ya muziki wa kizazi kipya ambayo  yamewahi kutajwa Tanzania na kufanya vizuri ni pamoja na Tmk Wanaume Family ni kundi ambalo lilikuwa na zaidi ya watu 5  swali ni kwamba wengine wako wapi kwa sasa??
fela 
Hili ni swali ambalo watu wengi tumekua tukijiuliza hasa baada ya project nyingi kuwasikia Temba na Chege peke yao,kipaza kinamfikia Said Fella ambaye ni meneja wa kundi la Tmk Wanaume Family>>’Unajua wengi wamekua wajasiriamali
Hapa anaendelea>>’ Tripo kwa sasa anasimamia na kuuza Fenicha za kaka yake mwingine ni Zozo Wida ambaye yeye kwa sasa amenunua Pikipiki za miguu mitatu ndizo zinazomuingizia kipato
Mwingine aliyetajwa ni Sticco ambaye Fella amesema>>’Kwa sasa Sticco ana production  ya kutengeneza filamu‘  Fella amesema ingawa kila mtu ana majukumu yake lakini  ikitokea wanahitajika wote wanapatikana na kufanya show pamoja.
Tmk Wanaume Family October 20 2014 walimpoteza member mwenzao mmoja anaeitwa Yp ambaye alifariki akiwa hospitali ya Temeke,Rest in peace Yp.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

www.7x24hours.blogspot.com
© Copyright 24hours
Back To Top