Akipiga stori na Over The Weekend, Shilole alisema kuwa anajua kwamba kitendo hicho kimewakwaza wengi na hakukusudia kufanya jambo kama lile. “Nimejifunza mengi na naendelea tena kuomba msamaha kuwa tatizo hili halitajitokeza tena ,niwaombe radhi kina mama na mashabiki wangu,” alisema. Shilole alifanya tukio hilo alipokuwa jijini Antwepen, Ubelgiji kwenye shoo ambapo aliongozana na mpenzi wake,Nuh Mziwanda
Loading...
Home
» Gossip
» Shilole Kiuno Awapigia Magoti Wanawake Wote na Kuwaomba Radhi Kwa Kitendo chake cha Kumwaga Radhi Jukwaani
Shilole Kiuno Awapigia Magoti Wanawake Wote na Kuwaomba Radhi Kwa Kitendo chake cha Kumwaga Radhi Jukwaani

Post a Comment