|
Odama Katika Pozi |
Staa wa Bongo Movies, mwenye mvuto wa aina yake, Jennifer Kyaka
‘Odama’, amesema anaogopa marafiki wa kiume kwa kuwa huwa na masharti
magumu pindi wanapotoa msaada.
“
Wasanii wa kiume kwangu sipendi kwa kuwa huwa na masharti kuliko marafiki wa kike ambao husaidia bila masharti ya ajabu,” alisema.
|
Odama Bongo Movies |
Aliongeza kwamba, marafiki wa kike anakuwa huru kuwaeleza shida na
matatizo yake kuliko wa kiume ndiyo maana hiyo ni sababu yake nyingine
ya kutopenda marafiki wa kiume kama anavyopenda marafiki wa kike.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Thursday, 28 May 2015
Post a Comment