Staa wa Bongo Movies, Riyama Ally ambaye ni mama wa mtoto mmoja , hivi
juzi kati aliwaacha njia panda mashabiki wake mtandaoni baada ya kuweka
picha hiyo akionyesha ujauzito na mpenzi wake akiwa ana ubusu.
Riyama alibandika picha hiyo kuandika “………?” kitu ambacho kiliwafanya
mashabiki kupoteana kabisa, wapo ambao wadai kuwa mwanadada huyo yupo
lokesheni anatengeneza muvi na wenngine kudai kuwa hiyo sio muvi bali ni
kweli staa huyo kwasasa ni mjamzito.
Kwa siku za hivi karibuni staa huyo amekuwa akitupia picha kadhaakwenye
ukurasa wake akiwa na jamaa huyo (alimuita Baba Fatma kwenye moja ya
posti zake) akimtambulisha kuwa ndio mwandani wake.
BongoMovies.com imejaribu kumtafuta Riyama ili atoboe ukweli juu ya jambo hili bila mafanikio.
Kama ni kweli, tunakupongeza na kukutakia kheri kwani ni jambo jema.
Mzee wa Ubuyu
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Saturday, 16 May 2015
Post a Comment