Kesi ya ubakaji inayomkabili mwanamuziki wa nyimbo za injili ambaye
ni mume wa Flora Mbasha kwenye mahakama ya hakimu mkazi Kisutu imesogezwa tena mbele kutokana na kutokuwepo kwa mwendesha
mashtaka anayeisimamia kesi hiyo.
Kesi hiyo ya Emmanuel Mbasha ilitakiwa
kuendelea baada ya mashahidi kuwepo eneo la tukio kabla ya hakimu mkazi
Flora Mjaya kuairisha mpaka Mei 29, 2015 kutokana na kutokuwepo kwa
mwendesha mashtaka Nassoro Katuga.
Mashahidi wawili wameshatoa ushahidi huku mmojawapo akiwa ni Dr. Migole Mtuka
wa hospitali ya Amana ambaye alisema kwenye uchunguzi uliofanyika kwa
muathirika Mei 26, 2014 ulionyesha yule binti hakubakwa.
Awali ilidaiwa mahakamani
hapo kuwa kati ya tarehe Mei 23 na 25, mwaka 2014 Bw Mbasha alimbaka
binti mwenye umri wa miaka 17, ambaye ni shemeji yake huku akijua ni
kosa.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Thursday, 28 May 2015
Post a Comment