Jamani
tubaki njia kuu!!! demu mmoja nchini kenya ameripotiwa kutembea na
wanaume zaidi ya 300 wakati anajua kabisa ni muathirika wa ukimwi. Demu
huyo aliamua kuchukua uamuzi huo mgumu kama njia ya kulipiza kisasi kwa
wanaume baada ya yeye kufanya mapenzi yasiyo salama na mwanaume
yaliyopelekea kuambukizwa ukimwi.Mwanafunzi
huyu kutoka Karabak University katika jiji la Nakuru aliamua kufunguka
kupitia facebook na kusema “nimesikia watu mkisambaza kashfa. Mimi nina
kashfa kubwazaidi nataka kuisema.” gazeti la daily post nchini kenya liliripoti.Mwanafunzi
huyu aliliambia gazeti la daily post la kenya kwamba ana miaka 19 tu kwasasa, na alikua ni bikira mpaka siku alipoenda club usiku na watu wa miaka ya juu hapo chuoni kwake. Alipoamka aligundua mmoja wa watu hao alifanya nae mapenzi bila ya yeye kujua sababu alikua amelewa kupita kiasi.
Post a Comment