
Kumekuwa na madai kuwa, mwanadada Husna Sajent ameolewa na msanii
mwenzake wa filamu, Salim Ahmed ‘Gabo’ lakini wenyewe wamekuwa
wakikanusha! Hata hivyo, juzikati Maimartha Jesse ‘Mai’ alimwaga mchele
mbele ya kuku kwa kumuita Husna ‘Mrs Gabo’.
Maimartha Jesse ‘Mai’.
Mai alifanya hivyo pale alipokuwa akiwatambulisha mastaa
waliohudhuria sherehe ya ‘baby shower’ ya Aunt Ezekiel iliyofanyika
Mwendopolepole, Bagamoyo mkoani Pwani.
Katika utambulisho huo, Mai alimuita Husna ‘Mrs Gabo’ akimaanisha na
si kwa utani, hali iliyowafanya watu kuanza kunong’ona kwa chini na
kumuacha Husna akicheka asijue namna ya kuua soo.
Msanii wa filamu za Kibongo, Husna Sajent.
“Si mwenyewe anasema ile picha iliyovuja akionekana kafunga ndoa na
Gabo ni filamu, sasa kumbe watu wake wa karibu wanajua ukweli, mh!
Makubwa,” alisikika akisema dada mmoja aliyekuwa eneo hilo la sherehe.
SOURCE; GPL
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Thursday, 14 May 2015
Post a Comment