Mtangazaji Maimartha Jesse akiwa katika pozi kabla ya kufanya mahojiano na Global TV Online.
Maimartha akiongea jambo wakati wa mahojiano hayo.
...Akiongea jambo kwa mshangao.
Maimartha akiwa katika pozi baada ya kufanya mahojiano.
MC maafuru Bongo, Maimartha wa Jesse amefungukia uhusiano wake ndani ya ndoa na kusema kuwa hajaolewa na mume wa mtu.
Maimartha aliyazungumza hayo leo aliopotembelea ndani ya Ofisi za
Global Publishers zilizopo Bamaga-Mwenge jijini Dar na kukanusha kuwa
kabla ya kuolewa alikutana na mpenzi wake huyo akiwa hana mke.
“Sijaolewa na mume wa mtu jamani. Wanaosema hivyo nawashangaa,” alisema Maimartha.
Maimartha aliongea mengi kuhusiana na maisha yake sambamba na
biashara zake ikiwa ni pamoja na kuuza vipodozi na dawa za kuongeza
makalio kwa wanawake.
Kwa mahojiano kamili yatapatikana hivi karibuni ndani ya Global TV Online kupitia
(PICHA: GLOBAL TV ONLINE)
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Friday, 15 May 2015
Post a Comment