Video Queen anayekuja kwa kasi Bongo, Asha Salumu
`Kidoa’ amempa makavu laivu muuza sura mwenziye Agnes Gerald
‘Masogange,’ akimponda kuwa kalio lake siyo orijino kwani wakati
mwingine hulijaladia.
Kidoa amesema amekuwa
akimshangaa mrembo huyo kwa kujianika mtandaoni akionekana ana kalio
kubwa kumbe siyo orijino.
“Masogange cha mtoto kwangu, ni kweli kalio analo lakini siyo kubwa
kama linavyoonekana kwenye picha anazopiga. Nasikia huwa anajaladia kwa
kuvaa taiti zenye masponji, sasa atashindana na mimi?” alihoji Kidoa.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Friday, 22 May 2015
Post a Comment