na kumnkurunziza kumpindua.Mrembo
huyo kutoka Kenya licha ya kuwa amewahi kushare picha za mwili wake
ukiwa mtupu kabisa, amesema kuwa miongoni mwa vitu ambavyo hawezi
kushare na followers wake zaidi ya laki 2, ni mpenzi wake, nyumbani
kwake, kitanda chake pamoja na ndugu zake kwasababu huo ni upande wa
maisha yake binafsi.“Never!
That is my private. Nyumba yangu, boyfriend wangu, mahali naweka kichwa
nalala, utaona tu hotel niko vacation and all that, lakini mahali
naweka kichwa changu nalala, na mtu aliyeuteka moyo wangu ni vitu
ambavyo kamwe siwezi kuweka Instagram, hata familia yangu siwezi
kuwaweka Instagram.” Alisema Huddah kupitia Amplifaya ya Clouds Fm.
Ameongeza kuwa picha nyingi ambazo huwa anaweka huwa ni za hotelini pamoja na zake mwenyewe, na haweki picha za mpenzi wake kuhofia wasichana wa mjini wasije kumrubuni na kumpora.
“Huwa naweka zangu tu, watu wanaona mimi mbinafsi kwasababu huwa siweka picha za watu wengine, kwasababu Instagram ina watu wengine wana matusi sana, wakati mwingine unaweza kuweka picha na rafiki yako wanamtusi rafiki yako, sasa imagine uweke mtu kama boyfriend wako halafu tena wasichana wana competition, wakiona ooh huyu ndio boyfriend wa Huddah, wanataka kumfatilia yule jamaa wanam Dm Dm huko ndani picha uchi zingine halafu bado wanakuja kunitusi, I don’t put my private life out there”.

Post a Comment