MASTAA
wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel na Kajala Masanja, juzikati walikutana na
kutumia muda wa takriban nusu saa (dakika 30) kumsengenya aliyekuwa
shosti wao, Wema Sepetu.
Mastaa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel na Kajala Masanja.
Tukio hilo lilijiri hivi karibuni kwenye Bustani za Ndoto Polepole
zilizopo Bagamoyo, ambapo mastaa kibao walihudhuria sherehe ya Baby
Shower ya Aunt, iliyokuwa imesheheni vituko kibao huku gumzo likiwa ni
kutokuwepo kwa Wema.
Awali paparazi wetu aliwashuhudia wawili hao wakimzungumzia Wema tena
huku watu wengine wakisikia, kubwa likiwa kumshangaa kwa namna
anavyotaka kila anayekuwa rafiki yake, awe adui wa maadui zake.Mjadala
huo ulikuwa mkubwa, ambapo Kajala kuna wakati alimuuliza Aunt sababu ya
Wema kutokuwepo eneo hilo ndipo alipompa mkasa mzima.
Aunt akimlisha Kajala keki.
Mazungumzo hayo ya Kajala na Aunt yaliwafanya hata waalikwa wengine
kumteta Wema, wakidai kuwa anatakiwa kujiangalia kwani ni staa ambaye
hadumu na marafiki zake na mara nyingi wakiachana, huachana kwa
ubaya.Ijumaa lilijaribu kuingilia mazungumzia hayo ili kujua kisa cha
wao kutumia muda mwingi kumjadili Wema lakini wote waliishia kuguna
kisha kuendelea na sherehe hiyo.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Thursday, 14 May 2015
Post a Comment