Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Steve Nyerere Aongea Maneno Haya Baada ya Kupigwa Chini Ubunge Jimbo la Kinondoni.....



‘Kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu lakini niwashukuru Wananchi wa wiliaya ya Kinondoni wamenionesha upendo ambao sikutarajia kwao, la pili sikubahatika kulishika gurumo hili la kuwa kiongozi na sitaweza kukata tamaa kwasababu hivi vitu vinahitajika uvumilivu kidogo, siasa inahitaji kuwa mvumilivu na kila kitu kinachofanywa kama mwanadamu kinachotaka kupigiwa kura au kutafuta maisha ni uvumilivu unaohitajika kusonga mbele’ – Steve Nyerere

Kwasasa nipo kidogo mapumziko nikitafakari kuna yale niliyoyafanya na changamoto nilizozipata katika uchanguzi huo nimejifunza mambo mengi mengi ambayo kwangu yanatija kwa hiiyo kwangu ni changamoto kubwa sana’ – Steve Nyerere
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

www.7x24hours.blogspot.com
© Copyright 24hours
Back To Top