Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

SHILOLE,AUNT EZEKEL WAJISHEBEDUA NA VISERENGETI BOY VYAO MBELA YA JK

 Zuwena Mohamed ‘Shilole’ na mpenzi wake, Nuh Mziwanda.ISHU! Katika kitu kinachoweza kutafsiriwa kama kituko, wasanii wawili wanaofanya vizuri kwenye filamu na Bongo Fleva, Aunt Ezekiel na Zuwena Mohamed ‘Shilole’ juzikati walionekana wakijishebedua na wapenzi wao wanaotajwa kuwa ‘majanki’ kuliko wao, mbele ya Rais Jakaya Kikwete wakati wa hafla ya fainali ya Kinondoni Talent Search, iliyofanyika katika ukumbi wa Kisanga, Millenium Tower, Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
 
Wawili hao walitinga ukumbini hapo wakiwa na wapenzi wao hao na kukaa pamoja huku wakipigana vibega kama ilivyo kawaida ya wapenzi, kiasi cha kuwaacha watu midomo wazi, hasa kwa kuzingatia kuwa ndani ya ukumbi huo kulikuwa na ugeni mkubwa.
Aunt Ezekiel na mpenzi wake, Mose Iyobo.
Wakiwa kwenye fainali hizo zilizoratibiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, Aunt na Shilole muda mwingi walionekana wakichezacheza na mabwana zao hao, Mose Iyobo na Nuh Mziwanda.
“Dah angalia Shilole na Nuh wake wanavyojishebedua mbele ya JK utadhania wao ndiyo wageni rasmi vile, halafu hali hiyo pia nimeiona kwa Aunt na Mose Iyobo na wao wamekaa kule nyuma lakini muda wote ni kunong’onezana na kucheka tu na hawaachani utafikiri wamekuja kutangaza mapenzi na ndoa zao humu,” alisema mmoja wa mashuhuda.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

www.7x24hours.blogspot.com
© Copyright 24hours
Back To Top