Nyota wa muziki na maigizo, Shilole amejikuta akilazimika kuweka bayana baadhi ya taarifa zake za matumizi yake kufuatia hatua ya Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kufikia uamuzi wa kumfungia kufanya shughuli zake sanaa.
Kwa
maneno yake mwenyewe, Shilole ameeleza kuwa matumizi yake kwa siku ni
shilingi laki 1, pesa hizi kwa hesabu za haraka zinamaanisha kuwa
Shilole kwa matumizi binafsi ya siku hadi siku jumla kwa mwezi anatumia
shilingi milioni 3, pesa ambazo kwa mwaka zinafikia jumla ya shilingi
milioni 36.
Pia
akiwa anaishi katika nyumba anayolipia shilingi milioni 7 kwa mwaka na
gharama nyingine za mamilioni ya shilingi yanayomtoka kila mwaka ikiwepo
ada za wanawe wawili shilingi milioni 10, jumla ya matumizi haya kwa
mwaka yanazidi milioni 53.
Post a Comment