Muigizaji wa filamu za Bongo, Shamsa Ford ameweka wazi hisia zake za kutaka kuingia kwenye ndoa.
Shamsa ambaye kwa miezi kadhaa iliyopita amekuwa akikanusha kuwa na
uhusiano na Nay Wa Mitego licha ya kuwepo kwa dalili nyingi
zinazoashiria kuwa ni wapenzi, amesema sasa umefika muda anatamani
kuolewa.
Muigizaji huyo wa ‘Chausiku’ ambaye ni mama wa mtoto mmoja, ameongeza
kuwa licha ya kutamani kuwa mke wa mtu lakini nafasi hiyo hawezi kumpa
mtu maarufu, kwa lugha nyingine hawezi kuolewa na Nay Wa mitego.
“Sijui hizi hisia zimetoka wapi…kwa sasa natamani kuolewa na nipo tayari
kuolewa ila na mtu ambae si maarufu. Maisha ya usingle nimeshayachoka,”
aliandika kupitia akaunti yake ya Instagram.
Wiki mbili zilizopita wawili hao walionekana wakibadilishana mate kwenye birthday ya Shamsa kama inavyoonekana picha hapo juu.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Post a Comment