Mahusiano mapya. Wiz Khalifa ambaye bado hajawa wazi kwenye mahusiano ambayo anaweza kuwa kwa sasa kwanzia aachane na mke wake Amber Rose, Inawezekana akawa kwenye mahusiano mapya ya kimapenzi na Rita Ora.
Wiz Khalifa na kipenzi hicho Rita walianza kuonekana mara tu kwenye Teen Choice Awards
ambazo zilifanyika jumapili iliyopita. Wawili hao walikuwa huru sana
haswa wakati wakichukuliwa picha ya pamoja nyuma ya jukwaa.
Kwamujibu wa TMZ, wawili hao walionekana kutoka kama wapenzi na kwenda dinner usiku wa jumatatu nabaada ya hapo walitembelea studio ya muziki.

Kwamujibu wa TMZ, wawili hao walionekana kutoka kama wapenzi na kwenda dinner usiku wa jumatatu nabaada ya hapo walitembelea studio ya muziki.

Post a Comment