Biashara ya kutoa burudani kwenye ulimwengu ni kazi yenye vishawishi
vingi mno kiasi cha kwamba kama mastaa wapo kimapenzi nivigumu gudumu
katika penzi lao. Nawanapo achana na walikuwa wana watoto basi wanawake
lazima waanzishe maisha yao mengine upya wakiwa na mtoto au watoto wao.
Kwavile wavulana wengi hawapendi kuwa kwenye mahusiano na mwanamke
ambaye tayari ana mtoto kutokana na labda kupoteza mvuto na au muonekano
kama wanavyo onekana kwenye mitandao ya kijamii, Lakini baadhi ya
mastaa ulimwenguni wamefanikiwa kuonyesha kuwa unaweza ku zaa na kuwa na
mtoto wako huku mvuto wa kimapenzi ukabaki pale pale.
Hii ni list tu niliyo iona ina warembo lakini walikuwa kwenye mapenzi na kupata mtoto kabla ya kuachana.
Amber Rose alipata mtoto wake Sebastian Taylor Thomaz kutoka kwa aliyekuwa mume wake Wiz Khalifa. Waliachana mwaka mmoja baada ya kupata mtoto huyo lakini bado anauwezo wa kumiliki mtoto wake na kumlea vyema.
'Reality TV Staar' Draya Michele ambaye amepata lawama nyingi sana kwenye mitandao kuwa haangaiki kumjali mtoto wake.
Turejee 2008, J-Lo alipata mapacha kutoka kwa mwanamuziki Marc Anthony. Anamiaka 45 na bado anaonekana mrembo kama miaka 20 iliyo pita.
Mwaka mmoja baada ya kukutana na Tyga, Blac Chyna alizaa mtoto King Cairo. Najapokuwa kwasasa yupo single, Kwenye Instagram anaonyesha umbolake zuri lilivyo.
Lauren London alizaa mtoto wakiume 2009. Mtoto huyo alizaliwa miezi michache baada ya kuachana na Lil Wayne. Alikuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu na rapper wa New Orleans.
Christina Milian ana binti anayeitwa Violet aliye zaa na The-Dream. Ameachana na muimbaji huyo wa Rn'B miezi michache iliyo pita.
Miezi michache tu baada ya kuzaa mtoto wake wa kiume, Ciara alikuwa 'Single Mother. Akafanya juu chini ili kurudisha hali yake kwa kuangusha kilo 27 kutoka kwenye mwili wake.
Hiyo ndiyo list niliyo kuandalia leo.
Umeionaje? Nipe maoni yako hapo chini!

Hii ni list tu niliyo iona ina warembo lakini walikuwa kwenye mapenzi na kupata mtoto kabla ya kuachana.
Amber Rose.

Draya Michele

Jennifer Lopez.

Blac Chyna

Lauren London

Christina Milian

Ciara

Hiyo ndiyo list niliyo kuandalia leo.
Umeionaje? Nipe maoni yako hapo chini!
Post a Comment