Andre
Ayew na Gomis, kwa mara nyingine kila mmoja amefunga bao na kuiwezesha Swansea
kushinda mabao 2-0 dhidi ya Newcastle waliokuwa pungufu baada ya beki wake
Janmaat kulambwa kadi nyekundu. Ayew ambaye ni mtoto wa gwiji
la soka Afrika, Abeid Pele kutoka Ghana anafunga bao katika mechi yake ya pili
katika Ligi Kuu England. Swansea (4-2-3-1): Fabianski 6; Naughton 7,
Fernandez 6.5, Williams 7, Taylor 6.5; Cork 6.5, Shelvey 7.5; Ayew 7.5 (Dyer
71, 6), Sigurdsson 6.5, Montero 8 (Routledge 76); Gomis 7.
Subs not
used: Nordfeldt, Eder, Rangel, Bartley
Booked: Ayew,
Naughton
Scorers: Gomis
9, Ayew 52
Newcastle
(4-2-3-1): Krul 6; Janmaat 3.5, Mbemba 5, Coloccini 5.5, Haidara 5; Anita
5.5, Colback 6; Sissoko 6.5 (Taylor 46, 5.5), Wijnaldum 5.5, Obertan 6 (Mitrovic
83); Cisse 5 (Aarons 54, 6).
Subs not
used: Williamson, Perez, Tiote, Darlow
Booked: Janmaat,
Mitrovic
Sent
off: Janmaat
Referee: Mike
Jones
Attendance: 20,678
Man of the Match: Jefferson Montero
Post a Comment