Mwenyekiti wa taifa wa TLP Augustine Mrema amewatahadharisha watanzania
kuwa macho juu ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ambao umepoteza
mwelekeo na kuyumba kisiasa na kudai kuwa hawafai kuingia ikulu na
kuongoza nchi.
Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha TLP , Augustino Lyatonga Mrema
Mrema ametoa tahadhari katika eneo la njiapanda baada ya kurejea ofisi
ya msimamizi wa uchaguzi wilaya ya Moshi kuchukua fomu za kugombea
ubunge katika jimbo la Vunjo huku akisindikizwa na wafuasi wake.
Amesema, kitendo cha ukawa kumkashifu hadharani waziri aliyestaafu Mh
Edward Lowasa kuwa ni fisadi na baadaye kumpokea na kumteua kuwa mgombea
wa urais ukawa imeonyesha udhaifu mkubwa na kwamba watanzania wa sasa
si wakuburuzwa.
Mh. Mrema amesema kuwa haiwezekani mtu alieachwa na chama na kuonekana
hafai kutokana na tuhuma za ufisadi kicha CHADEMA ndio wakaona anafaa
kuwa mgombea huko ni kuonyesha kutokuwa na msimamo ndani ya hivyo ni
vigumu kuwapa uongozi wa nchi.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Politics
on Friday, 14 August 2015
Post a Comment