Haji Salum ‘Mboto akisaidia kulibeba gauni la Lulu.
DIVA wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ hivi karibuni
amemhenyesha staa mwenzake wa filamu, Haji Salum ‘Mboto’ baada ya kumpa
kibarua cha kulishika gauni lake lisiguse chini.
Tukio hilo lilitokea kwenye fainali ya shindano la kusaka vipaji vya
kuigiza lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents (TMT 2015) iliyofanyika
kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Posta jijini Dar ambapo Lulu na
Mboto walikuwa washehereshaji.

Katika
hali iliyoonesha Lulu alikuwa ‘siriaz’ stejini alimsisitizia Mboto kila
mara ahakikishe amelishika gauni lake vizuri na asiliachie.
“Mboto hapa kazi yako ni kulishika gauni langu kwa nyuma kila
nitakapokuwa nawe na ole wako uliachie,” alisikika Lulu ambapo Mboto
alitekeleza ombi la Lulu.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Wednesday, 26 August 2015
Post a Comment