Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

DI MARIA ATOA HAYA YA MOYONI BAADA YA USAJILI WAKE PSG KUKAMILIKA.

Winga wa timu ya taifa ya Argentina Angel Di maria amefurahishwa na uhamisho wake toka Manchester United na kujiunga na matajiri wa Psg.

Nyota huyu mwenye umri wa miaka 27 alifanyiwa vipimo vya afya huko Qatar na kukamilisha uhamisho wake uliogharimu kiasi cha pauni milioni 44.3.
Baada ya uhamisho huo kukamilika Di Maria alisema ana furaha kujiunga na Paris St –German . Pia amewaahidi washabiki wa PSG kombe la klabu bingwa barani ulaya.
Lakini vilabu vya Manchester United na Psg havijatangaza rasmi kukamilika kwa uhamisho huo .
Di Maria alijiunga na mashetani wekundu msimu uliopita akitokea Real Madrid ambapo alicheza michezo 32 na kufunga mabao 4.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

www.7x24hours.blogspot.com
© Copyright 24hours
Back To Top