Kitu ambacho mashabiki wengi wa Music Tanzania na hata nje ya Nchi
wangependa kusikia kinaweza kikawa kimekaribia, Meneja wa Diamond,
Salaam amepiga picha ya Pamoja na mpinzani mkubwa wa msanii wake,
Alikiba.
Haijajulikana nini kinaendelea lakini inawezekana labda ugomvi wa
wasanii hao wawili umefikia mwisho na labda tutegemee chochote kutoka
kwa hao wasanii wawili. Kweli mbongo mpe picha story ataandika mwenyewe
Picha hiyo inaonekana imepigwa jana, ukiangalia vizuri kwenye hiyo picha
utamwona Ne-yo kwa nyuma, Kwahiyo iko wazi kuwa meneja wa Diamond yupo
Kenya pamoja na Alikiba. Kitu kingine cha kutegemea ni collabo ya
Diamond na Ne-yo, Diamond alikutana na Ne-yo mwezi uliopita Afrika
kusini na aliahidi kuwa kuna kitu kinafata kwahiyo inawezekana meneja wa
Diamond yupo Nairobi kwa ajili ya kukamilisha collabo hiyo.
Alikiba ameenda jijini humo kwa ajili ya Coke Studio ambapo pia
ataungana na wasanii wengine wa Afrika kushirikiana na Msanii wa
Marekani.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Tuesday, 18 August 2015
Post a Comment