Kufuatia kitendo baadhi ya mashabiki kumshabulia kwa maneno makali staa
wa Bongo Movies, JB kwa kuonyesha mapenzi yake kwa Chama cha Mapinduzi
(CCM) kuelekea uchaguzi wa mwaka huu, JB amefunguka haya kwenye ukurasa
wake mtandaoni kuwataka wabadilike kimtazamo.
Hakuna kitu muhimu kwenye maisha kama furaha....lakini furaha ina
ambatana na kufanya mambo ambayo moyo wako unapenda bila kuvunja sheria.
Kuishi maisha ya kuogopa kitu unachopenda kwa sababu ya watu ni
kuinyima furaha roho yako...watanzania wenzangu tuanze tabia ya
kuheshimu maamuzi ya wenzetu.
Angalia hata kwenye mahusiano yetu watu wakiachana ni uhasama..kisa hatukubali kuwa mwenzako moyo wake uko kwingine.
Eti lazima akupende ww tu..haa...kwenye siasa ndio usiseme mtu
akipenda upande mwingine ashakuwa adui.Aaah tubadilike.....sambaza
upendo..+255 kwanza.
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Politics
on Tuesday, 25 August 2015
Post a Comment