Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

TUNAKULETEA MGOMBEA UBUNGE WA MOROGOR KUPITIA CHAMA CHA ACT ZA WAZALENDO

Leo Kwenye ukurasa wa Jamii Uchambuni wa Watanagaza nia ya Wagombea Ubunge Tunakuletea Mgombea Ubunge Morogoro Kupitia Chama cha ACT Afande Sele.Msani huyu wa Muda mrefu Kutoka Mkoani Morogoro amekuwa na Shahuku ya Muda Mrembo ya Kuliongoza Jimbo la Morogoro.Uchambuzi wetu wa leo je Mgombea huyu ni Mtu sahihi kuliongoza Jimbo la Morogoro??Nini matarajio ya wakazi wa Morogoro Kupitia Mgombea huyu??Hizi ni baadhi ya Picha za Matukio ya Mikasa Mbalimbali iliyowahi Kumkumba Mgombea huyu..
Afande Selle anawania kuwa mbunge wa jimbo la Morogoro Mjini kwa tiketi cha chama cha ACT Tanzania Hapa Akiwa Jukwani Nusu Uchi.HAPA KWA HARAKA HARAKA SI AKILI YAKE IMEMSUKUMA KUFANYA UCHAFU HUU MBELE YA UMATI WA WATU.Kwa jamii ya Tanzania hili sio tukio la kawaida huu ni Uvunjifu wa Maadili na ni UHUNI,.Uchafu huu (Uhuni huwa unafanywa na Vijana waliodondoka kwenye Matumizi ya Madawa ya Kulevya.Kwa Uhuni huu na Akili za Wavuta Bangi na Watumiaji wa madawa nini Matarayio ya Jamii anayoenda kuiongoza??Mbunge akiwa hivi je hiyo jamii inayoenda kuongozwa itafanana je?

Mgombe wa Ubunge Morogoro Kupitia chama cha ACT Afande sele
Madhara ya Bangi na Madawa ya Kulevya yaliomuadhiri Mgombea Ubunge wa Morogoro Kupitia ACT Afande Sele Ameamua kulichafua bUnge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Baada ya Kusema kuwa wabunge wengi wa Tanzania wanamfuata na kumuomba 'Mmea' (BANGI) wakidhania kuwa yeye bado anavuta.Hii itakuwa Aibu kubwa sana kwa Wakazi wa Morogoro kuongozwa na Mvuta Bangi.Upo Msemo unaosema Akili za Kuambiwa Changanya na zako.Kwa haraka haraka Ni Mbunge Gani wa Bunge la Tanzania unayeweza Kumfananisha na Mgombea Huyu wa ACT
Seleman Msindi Mbunge mtarajiwa Morogoro anayetarajia Kuwania Kiti Hicho kupitia chama cha ACT Wazalendo.Amepiga usingizi wa hatari nje ya mjengoni itakuaje akifika muda wa kuchangia miswada bungeni.Hapa hana Majukuku ya uongozi tayari Ameshajichokea na Kuamua Kuuchapa Usingizi Mchana Kweupe Itakuwa je Akipewa Madaraka ya Kuawongoza Wakaazi wa Morogoro.Jibu Unalo huenda Jimbo la Morogoro likapotea kabisa.Uongozi Ni Dhamana na si Uwezo wa Madawa ya Kulevya
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

www.7x24hours.blogspot.com
© Copyright 24hours
Back To Top