Baba wa mtoto aliyezaa na Shilole amejitokeza na kulalamika kusingiziwa
na msanii huyo kuhusu kumbaka..na kusisitiza alikua na uhusiano naye na
amekana kumbaka.
Shilole amezungumza na Soudy Brown na kusema mwanaume huyo hajui mtoto
anakula nini wala ana miaka mingapi hivyo hataki hata kumsikia kwa kuwa
hilo jambo bado linamuumiza na hataki mtoto wake ajue nini kinaendelea
kati yake na baba wa mtoto wake.
Pia amesema amepanga kutoa elimu kwa wanawake na wasichana ambao hufanyiwa vitendo vya unyanyasaji kutoka kwa wanaume zao.
Msikilize hapa mtu wangu…
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;
Filed Under:
Gossip
on Friday, 3 July 2015
Post a Comment