Siku mbili kabla ya ramadhan kuanza nilikua na mihadi na binti mmoja ili tuvunje jungu kupisha mwezi mtukufu wa Ramadhan ili mwenzangu aweze kufunga kwa amani, yeye ni muslim mimi ni christian tukasema tuonane Sugar ray bar and guest house Temeke, mimi nilitokea kazini kwenda hapo, yeye alitokea Keko Magurumbasi.
Siku hizi nimeamua nitoke na watoto wa kiswahili maana hawana gharama ukimpa elfu tano tu anaenda kuhadithia ukoo mzima, na atayarudi mayenu hadi utakimbia na boxer kichwani. Tukiwa hapo sugar ray, tukiwa tumechangamka mno, na mziki mzito ukiporomoshwa na bendi ya nyimbo za copy huku yule binti akinibusu na kunikumbatia, akiwa ameniwekea miguu juu ya mapaja yangu huku akideka kike, ahamadi nageuza shingo kwa nyuma ilibaki kidogo nianguke nakutana uso kwa usona rafiki kipenzi wa mke wangu akiwa na kampani ya wanawake wenzie wakionekana kunisonta kwa vidole.
Nikamwambia yule mwanamke wangu disco limeingiliwa na mmasai tuondoke haraka.Tukaenda kuvunjia jungu Lelo guest house unubini, baadae saa tano usiku nikarudi kwangu.Nimepiga honi zaidi ya dakika ishirini hakuna aliefungua, nastukia sauti ya wife kwa ndani ya Geti ikisema Rudi huko huko sugar ray ukalale.Nikajua tu Rafiki mtu alipiga simu zamani kusema umbea.Hivi mtu unapotoa taarifa kama hiyo unategemea nini? Ndoa ya watu ife au? Nashukuru mungu wife alinielewa, maana nilisema rafiki ananihitaji siku nyingi mimi ndo namchenga, nashangaa unasikiliza taarifa zake wakati ananitaka.
Vita niliyowaachia huko ile ya Idd Amin haifai
Post a Comment