Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Wastara: Wanasiasa Wanatutumia Kama Big G tu

Wastara
Staa wa filamu za Kibongo Wastara Juma, ameibuka na kusema kuwa wanasiasa wanawatumia wasanii wakiwa na shida zao lakini wakishapata uongozi huwasahau na kuwaona ni wasumbufu pale wanapohitaji msaada.

Akipiga stori na Ijumaa hivi karibuni, Wastara alisema kuwa kwa sasa wao watakuwa lulu kwa wanasiasa na kutumiwa ipasavyo lakini baada ya mchakato wa uchaguzi kuisha wataonwa hawafai, kitendo ambacho si kizuri kwani wanatakiwa kukumbukwa wakati wote.
  • “Yaani kuna wakati sipendi kabisa siasa na wala sipendi kufungamana na mtu kwa sababu nilichojifunza sisi wasanii tunatumiwa kama Big G tu kwa sasa kwa sababu wana shida, baada ya hapo tutaachwa solemba na hata tutakapohitaji kusaidiwa jambo lenye masilahi kwetu tutaonekana wasumbufu,” alisema Wastara.
Chanzo: GPL
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:.;

Post a Comment

www.7x24hours.blogspot.com
© Copyright 24hours
Back To Top