Kwa muda mrefu sasa hivi watu wanaofatilia habari za mastaa wa bongo wanafahamu kwamba Waigizaji Wema Sepetu pamoja na Kajala ambao walikua marafiki mpaka Wema akamuokoa Kajala kwenda Jela kwa kumlipia faini ya MILIONI 13, hawapatani sasa hivi hata wakikutana hawasalimiani.
Wema Sepetu alikutana na Zamaradi Mketema kwenye show ya CloudsTV (TAKE ONE) na kuongea mengi kuhusu Kajala na kwanini hatomsamehe, kwenye hizi video mbili hapa chini kuna Part I na Part II Wema akiongea yote.
Hiyo hapo juu ni part I, part II ndio hii hapa chini…
Kwenye hii video hapa chini utakutana na Kajala akiongea kuhusu yeye na Wema Sepetu kutosemeshana na kuhusu kupatana kwao.
Post a Comment